SAFARI YA KILIMO (BUNDUKI) Kilimo kilianza rasmi mnamo mwezi wa kumi mwaka 2017. Harakati za ukodishaji na uandaaji wa shamba zilianza ...
SAFARI YA KILIMO (BUNDUKI)
Kilimo kilianza rasmi mnamo mwezi wa kumi mwaka 2017.
Harakati za ukodishaji na uandaaji wa shamba zilianza mapema mwezi huo.
Hapa nimekuekea stori kwa ufupi ili kuweza kufahamu kilichoendelea katika harakati hizo.
HAPA NI BAADA YA MAHINDI KUOTA (Maeneo ya senjele)
Sehemu ya shamba ambayo ilionekana mahindi kutoota vema.
Mahindi yakiendelea kukua vema sehemu ya shamba. - hapa ni baada ya wiki nne
Ukuaji baada ya wiki tano mpaka sita
Hapa sasa ni muda muafaka wa kuanza palizi.
Sehemu ya shamba ambayo inaonekana kuwa na majani mengi. uhitaji wa palizi hapa ni mkubwa ukilinganisha na maeneo mengine.
Hapa ni wakati wa kutia mbolea shambani. Bunduki na bwana Ummari wakiwa katika Harakati hizo. hii inaitwa mbolea ya DAP ikichanganywa na UREA
Umwagiliaji wa dawa ya kuuwa majani shambani. hii ni moja ya hatua ambazo ni muhimu na kusaidia majani kufa. Pia dawa hii hutumika pale ambapo palizi imechelewa/kukosekana.
Matokeo ya dawa hii huonekana baada ya masaa 24 (siku moja)
Mr bunduki akiwa katika harakati za umwagiliaji wa dawa ya kuuwa majani
Mahindi yakiendelea kukua kwa afya njema
Kwa habari nyingine nyingi usisite kutembelea blog hii sehemu ya pili ya kilimo hiki
asante

COMMENTS