Unaweza kujiuliza ni kwanini mtu anafikia au anaamua kuingia katika kadhia hii ya kujichua? - Makala hii itakujuza na kukupa suluhisho.
Najua wewe hujawahi kufanya, ila umewahi kusikia kuhusu neno hili (PUNYETO).
- 1.
PUNYETO
NINI?
- 2. NJIA ZA PUNYETO
- 3.
VISABABISHI
- 4.
MADHARA
- 5. TIBA
1. PUNYETO NI NINI?
Kwa kiswahili fasaha tunasema
Punyeto ni usuguaji wa tupu ya mbele kwa kutumia mkono au mashine ili kutoa manii kama njia ya kujiridhisha kimapenzi.
2. NJIA ZA PUNYETO
Japo asili au njia kuu ya punyeto ni mkono lakini kutokana
na ubunifu wa binadamu katika kukidhi mahitaji yake ya kimwili, kumekuwa na
aina kadhaa za punyeto.
Hizi ni pamoja na:-
a.
MKONO
Hii ndio njia ambayo hutumiwa
na watu wengi zaidi katika kukidhi haja za kimwili. Katika njia hutumia
vilainishi kama vile mafuta, sabuni, mate na kadhalika.
Asilimia kubwa ya waliyowahi au wanashiriki mchezo huu hutumia njia hii kwa asilimia kubwa.
b.
MTO
(PILLOW)
Hii hutumika zaidi pale
ambapo mtu yupo kitandani hasa baada ya kuamka usingizini.
Mto hutumika kama mwanamke
kwa kuuweka katikati ya mapaja na kuanza kuvuta hisia za mapenzi na hatimaye
kufikia lengo.
c.
KUUBANA
UUME KATIKA MAPAJA
Hapa mtu huubana uume wake kwa kutumia mapaja na kipata joto hatimaye kufika kileleni. Hii mara nyingi hutumika pale ambapo mtu ana hisia nyingi kupita kiasi. Basi akibana tu mapaja hukojoa hapo hapo.
NB;-
Mara nyingi ili kufanikisha zoezi la punyeto kwa haraka ni lazima kuwe na kuchochezi kama vile hisia, picha au video za ngono.
Unaweza kujiuliza ni kwanini mtu anafikia au anaamua kuingia katika kadhia hii ya kujichua?
Kwanini watu wanapiga punyeto?
Kutokana na kikao ambacho tulikaa vijana watatu na kujadili suala hili tulikuja na majibu haya. Vijana hao ni Saidi Bunduki, Omari Saidi na Alfa Kamwela.
VISABABISHI VYA PUNYETO
Mara nyingi kila jambo huwa na sababu zake. Na hapa tutaona sababu ambazo humpelekea mtu kuingia punyetoni.
Zuala la mazingira ni pana kwa namna yake. Na miongoni mwa mazingira ambayo yanaweza kumfanya mtu kutumbukia katika janga la punyeto ni watu ambao anaishi nao / aliishi nao.
Lakini pia mazingira yenye hanasa kama vile kukithiri kwa wanawake wanaovaa nusu uchi, kuishi nyumba za uswahilini ambazo miguno ya mahaba husikika kutoka kwa jirani na mengine mengi.
b) KUTAZAMA PICHA ZA NGONO
Kumekuwa na ongezeko kubwa la picha za ngono ulimenguni. Hii ni miongoni mwa sababu kubwa ambazo huwapelekea watu (hasa vijana) kujichua na kujimaliza wenyewe pindi wawapo faragha.
c) PEPO WACHAFU
Baadhi ya watu wametawaliwa ama kukumbwa na mashetani wachafu ambao huwapelekea katika tabia hizi chafu.
d) KUTORIDHISHWA NA WENZA WAO
Kutoridhika katika tendo la ndoa na mpenzi wako kunaweza kukupelekea katika tabia hii ya punyeto ili kukamilisha zoezi la kujiridhisha kikamilifu.
Hii inaweza kutokea kwa watu wote wanawake na wanaume.
e) Upweke
Upweke unaweza kutokana na vitu vingi kama vile kuachwa, kukataliwa na mengineyo.
Kijana anaweza kujikuta anaangukia katika upigaji wa puli / puchu / punyeto.
MADHARA YA PUNYETO
Ingawa kuna watu hudai kuwa punyeto haina madhara, lakini wanasayansi wamegundua baadhi ya matatizo ambayo hutokana na punyeto.
Mbali
na wanasayansi pia baadhi ya watu ni mashuhuda juu ya madhara ya jambo hili.
Lakini madhara haya ni kwa wale ambao wamedumu kwa muda mrefu zaidi ya mwaka
mmoja.
Kwakuwa suala la punyeto huhusika zaidi na usuguaji wa mishipa ya uume, hivyo hupelekea michubuko katika na hatimaye uume kuwa legelege pindi unapo simama.
Hii hupelekea pia upungufu wa nguvu za kiume kwa baadhi ya watu au kupelekea pia kutokuweza kurudia tendo la ndoa.
ii) KUWAHI KUFIKA KILELENI
Hii ni kwasababu mtu aliezoea kujichua huwa anajikadiria mwenyewe hisia zake, hivyo anapokutana na mwanamke ni rahisi kumwaga manii kwasababu anashindwa kuji control.
Lakini pia joto analoloipata kwenye mkono wake ni tofauti na uke wa mwanamke hivyo anaweza kujikuta anawahi kufiika kileleni.
iii) KUKOSA NGUVU
Mbali na akili nyingi ambayo hutumika wakati wa kujichua kutokana na kitendo hiki kushirikisha zaidi ubongo, lakini pia misuli ya mwili nayo hutumika katika kuhakikisha zoezi linakamilika ipasavyo. Hii huchangia katika kupunguza nguvu za mwili.
Hasa kwa vijana wa kiume ambao wameathirika sana na punyeto wanakuwa dhaifu sana hasa maeneo ya viungo kama magoti, mikono na mwili kwa ujumla.
iv) KUTOJIAMINI
Hasa mbele ya wanawake. Mtu ambaye amezowea kujichua mara nyingi huwa hana kazi na wanawake kwani haja zake hujimaliza mwenyewe.
Kwa upande wa wanawake nao ni hivyo hivyo anaweza kutohitaji mwanaume au mwanaume ambaye hatomridhisha humdharau sana.
Miongoni mwa madhara ni pamoja na
- v) Maumivu ya ngonga na viungo kwa ujumla.
- vi) Uwezekano wa kupungua kwa mbegu za kiume na uwezekano wa kupata mtoto.
TIBA YA KUACHA PUNYETOUtakubaliana nami kuwa kila ugonjwa una tiba, kwa kua na punyeto ni ugonjwa basi hapa nitakupa tiba zake na kama upo tayari utafanikiwa kabisa kuacha punyeto.
1. Kuwa tayari
Kitu cha kwanza na muhimu na ambacho ni kigumu kidogo ni kuwa tayari katika akili yako kuwa unaachana na punyeto.
Tambua madhara yake kutoka moyoni mwako kwanza ndipo utafanikiwa kuachana na janga hili.
2. Wacha kuangalia ngono
Kwakuwa ngono ndio kichocheo kikubwa cha punyeto unatakiwa kuacha kabisa kuangalia kwani mwisho wa siku utarudi kule kule na tatizo litaendelea.
Sambamba na hayo pia fanya mambo haya ili kuacha punyeto
3. Kuwa na mpenzi / mke
4. Fanya mazoezi
5. Kula matunda na mboga mboga
6. Pata muda wa kupumzika
7. Epuka kukaa peke yako mda mrefu
NENO LA MWISHO
Wapo ambao wanadai kuwa punyeto haina madhara, huenda ni kwa upande wao au kutaka kuficha aibu zao. Ila kiukweli kabisa kama utadumu kwa muda mrefu ni lazima ukutane na moja au baadhi ya madhara ambayo tumeyataja.
Lakini pia katika dini yetu ya uislamu suala hili limekatazwa na ni haramu kabisa. Hivyo kama hauhofii madhara basi muogope Mungu.
Asante kwa kuwa nasi.
Asante sana somo zuri
ReplyDeletenashukur mkuu umnpa mwangaza
ReplyDeleteAsante sana kwa kuwa nasi,🙏
Deletethanks for every things i will do
ReplyDeleteThank you bro natumai nimekuelewa na sitojaribu tena huu upumbavu wakisheitwani ulio laaniwa shukran sanaaa
ReplyDeleteAsante Sana
ReplyDeleteMe niliyefanya mda mrefu
ReplyDeleteNimeona hayo madhara nifanye nin sasa ili niwe sawa
Nitafute 0689 678 503
DeleteUna mpenzi,kama unaejitahid ukiwa nahisia hizo mtafute kama huna ni wakati wa kutafuta
Delete