Shairi ni kuhusu janga la gonjwa la mlipuko la korona ambalo lime/linaitikisa dunia mpaka sasa
Imeripuka tufana, kuvunja za watu chemba
Tulisema ni wachina, itaishia ilipo
Asia na Afrika, gonjwa limekuwa jipu
COVID kumi na tisa, unaweza itamka
Shule, vyuo - madrasa, vimefungwa kisheria
Hizi ni zake dalili, ukiwa nazo UNAO
Tuchukue tahadhari, bado tupo kwenye kiza
Nawa mikono vizuri, kabla kazi kuanza
Jingine hili pokea, wasemalo watalamu
Epuka mikusanyiko, isiyokuwa lazima
Wito wangu kwako dada, mama na bibi kizee
label:
MashairiAUTHOR: Saidi Bunduki
Ni kijana ambaye anajishughulisha na Uandaaji na Uandishi wa makala mbali mbali zikiwemo AFYA, TEKNOLOJIA, MAISHA, SIMULIZI n.k. Pia ni mtunzi wa MASHAIRI ya Kiswahili pamoja na vitabu - 0688 787041 / 0629 678 503
Follow - ili usipitwe
Kwa mawasiliano zaidi
Total Page views
UKUMBUSHO WA LEO$quote=Saidi Bunduki
/fa-clock-o/Trending posts$type=list
-
Kwa jina maarufu hujulikana kama Ngogwe. Hivyo tunaweza kusema ni FAIDA ZA KULA NGOGWE / The 7 benefits of African eggplants Ni kungo muhi...
-
Najua wewe hujawahi kufanya, ila umewahi kusikia kuhusu neno hili (PUNYETO). Sijui umesikia katika mrengo gani hasa kati ya faida au hasara...
-
Majina Ya Mitume 25 katika Quran Pamoja na kwamba inasemwa kuwa idadi ya Mitume wanafika hadi 124,000 kutokana na baadhi ya mapokez...
Recent with thumb$type=blogging$m=0$cate=0$sn=0$rm=0$c=4$va=0
Search This Blog
Random posts$type=list-tab$date=0$au=0$c=5$src=random-posts
- Afya (66)
- Blogging (18)
- Burudani (29)
- Dini (99)
- Maisha (38)
- Mashairi (52)
- Sitosahau (37)
- Teknolojia (7)
- Usichokijua (14)
/fa-fire/ Popular posts$type=one
-
Kwa jina maarufu hujulikana kama Ngogwe. Hivyo tunaweza kusema ni FAIDA ZA KULA NGOGWE / The 7 benefits of African eggplants Ni kungo muhi...
Hahaha lipo powa
ReplyDeleteSafi sana
ReplyDeleteShukran
ReplyDeleteVina kati mwanzo na mwisho 🔥🔥
ReplyDeleteTunajaribu mkuu kama nasi tutaweza
DeleteSafi sana.ujumbe mzuri sana,pongezi kwake.amina
ReplyDeleteShukran kiongozi
Delete