Pamoja na vyakula lakini yapo mazoezi ambayo kama utadumu nayo ni tiba kubwa juu ya tatizo lako la upungufu wa nguvu za kiume.
Hivyo ni kwamba kuna viungo vingi katika mwilini ambavyo huhusika na jambo hili. Viungo hivyo ni pamoja na Ubongo, moyo, mapafu, mishipa, mirija ndani ya uume na kadhalika.
Kwahiyo kukosa nguvu za kiume hutokea pale ambapo moja kati ya viungo hivyo havifanyi kazi ipasavyo.
Kuna mambo kadhaa yanayosababisha ukosefu wa nguvu za kiume kwa mfano kupatwa na maradhi, vyakula unavyokula na mtindo wa maisha. Baadhi ya maradhi hayo ni ugonjwa wa sukari, presha ya kupanda, presha ya kushuka.
Makala iliyopita tulizungumzia kuhusiana na Vyakula vinavyo ongeza nguvu za kiume.
Pamoja na vyakula lakini yapo mazoezi ambayo kama utadumu nayo ni tiba kubwa juu ya tatizo lako la upungufu wa nguvu za kiume.
Mazoezi katika ujumla wake yana umuhimu mkubwa sana katika kujenga afya ya mwili wako. Na mtu ambaye hajishughulishi na mazoezi walau kidogo yupo katika hatari zaidi ya kupata magonjwa kama presha, kisukari na kadhalika.
Soma
Yafuatayo ni baadhi ya mazoezi yenye uwezo wa kuimarisha uwezo wa nguvu za kiume na kuweza kudumisha ndoa / mahusiano yako;-
1. SQUATTING
Hili ni zoezi la kuchuchumaa na kusimama (mara nyingi)
Unaambiwa hili ndilo zoezi linalokubalika zaidi katika kuongeza nguvu za kiume kwani husaidia kuimarisha misuli katika eneo lako la chini ya mwili kuanzia tumbo (sixparks), mgongo hadi miguuni.
Ukiwa na utaratibu wa kufanya zoezi hili kila siku sahau kuhusu kitambi kwakuwa huimarisha misuli ya tumbo.
Lakini pia kwa asilimia fulani zoezi hili husaidia kuchoma mafuta mwilini.
Chuchumaa na kusimama mara 15 hadi 20 kisha pumzika kwa dakika moja na unendelee tena. Fanya hivyo kwa mizunguuko mitano. Kadiri siku zinavozidi kwenda utazidi kuimarika na unaweza kuongeza kwa kubeba kitu kingine kizito ingawa sio lazima sana.
Wakati unafanya zoezi hili unaweza kuweka mikono yako shingoni, kiunoni au kuinyoosha mbele kisha unachuchumaa mpaka unakaribia kugusa visigino. Kumbuka kuwa usisimame na vidole. Simama na mguu wote (unyayo)
2. KUTEMBEA KWA MIGUU
Karibu kila mtu mwenye utimamu wa mwili na afya anaweza kufanya zoezi hili. Unaweza kufanya muda wowote na sehemu yoyote. Lakini sehemu bora ya kutembea ni sehemu ya wazi yenye hewa safi.
Sambamba na hilo pia zoezi hili unaweza kulitumia kama unataka kupunguza uzito. Tembea kwa muda wa dakika 60 bila kupumzika (kila siku asubuhi na jioni)
3. PUSH UP
Nafikiri hili ni zoezi maarufu ambalo watu wengi hulifahamu namna ya kulifanya.
Ingawa ni zoezi gumu kulifanya lakini husaidia kuongeza msukumo wa damu mwilini hivyo huimarisha sana uwezo wa nguvu zako za kiume.Sambamba na hilo lakini pia huimarisha misuli ya mikono, mabega kifua na tumbo.
Kama ndio mara yako ya kwanza unaweza kuanza na push up 5 hadi 10 huku unaongeza idadi kadiri unapopata uzoefu.
Si lazima kukunja ngumi na kuumiza vidole vyako kwani lengo letu si kukomaza vidole vya mikono (nakoz) ila kama kuna sababu nyingine unaweza kufanya hivyo.
Hakikisha umenyoosha miguu yako vizuri kisha nenda chini lakini usilale katika ardhi, kisha rudi juu. Na hiyo inahesabika ni pushapu moja.
Wakati wa kunyanyuka usitangulize kichwa wala kiuno. Hakikisha unakwenda mwili mzima na unarudi hivyo hivyo
4. JOGGING
Tofauti na kutembea, hii ni kukimbia kwa mwendo mdogo mdogo maarufu kama jogging. Hili ni miongoni mwa mazoezi ambayo husaidia kwa haraka sana msukumo wa damu mwmilini.
Zoezi hii pia huimarisha misuli ya miguu (vigimbi) na kuongeza pumzi. Misuli imara ya miguu ni muhimu sana katika suala la mzunguko mzuri wa damu.
5. KUOGELEA
6. PUMZIKA / LALA
Good, nimefurahi na maelezo
ReplyDeleteAsante kwa ushirikiano wako mkuu
DeleteVip tatizo la kuwahi kufika kileleni, linaondolewaje??
ReplyDeleteKama ukipata muda unaweza kunitafuta mkuu. KWA maelekezo zaidi🙏🙏 0625 718040
DeleteMbna sikuoni Mkuu whatsapp
DeleteNAPATIKANA KWA NAMBA HII - 0625 71 80 40
DeleteNimependa kazi yako amakweli utasaidia vijana wengi Sana
DeleteUkifanya zoezi la kuchuchumaa nasimama misuli ya uume inakakama ndo matokeo?
ReplyDeleteNimiongoni mwa mazoezi yanayoimarisha sana nguvu za kiume mkuu
DeleteJe tiba Bora mazoez
ReplyDeleteMazoezi ni muhimu na yana mchango mkubwa sana. Lakini kama tatizo ni kubwa iko haka ya kutumia dawa za asili
DeleteNoma
ReplyDeleteSafi Sana kaka
ReplyDeleteAsante sana kwa kuwa nasi🙏
DeleteNimependa hili somo
ReplyDeleteNaomba kusaidiwa namna ya kuimarisha misuli ya uume has a baada ya mpigo mmoja
ReplyDeleteTupigie 0629 678 503
Delete