Omba Mungu baadhi ya mambo yasikukute. Sikiliza simulizi ya kijana binadamu mwenzetu aliyeliwa nyeti zake zote na samaki baharini walipozama
Kipindi ni maisha safari ambacho huruka kutoka BUNDUKI TV na mrbunduki.com.
Leo tumekutana na kijana ZARAU akielezea mkasa wake wa kuzama baharini na kupoteza nyeti zake baada ya kukaa zaidi ya siku 8 majini na wenzake watatu kufariki.
Tazama hapa mkasa huu (SEHEMU YA PILI)
COMMENTS