Bunduki TV imepata Tena fursa ya kurusha hotuba za Ijumaa kutoka Msikiti wa ISANGA - MBEYA.
Hii ni hotuba ya Ijumaa ambayo ilitolewa na Sheikh Ibrahim BOMBO katika Msikiti wa ISANGA - MBEYA.
Khutba hii ilitolewa Ijumaa ya tarehe 26/03/2021.
Hapa chini Ni video kamili ya hotuba hiyo bora kabisa.
COMMENTS