Hii ni historia kamili ya maisha ya Mwanazuoni huyu Sheikh Muhammad Ayoub aliyesambaza elimu ya dini Afrika Mashariki na kati
Ifike mahala tuanze kufuatilia na kuzifahamu historia za maisha ya Masheikh na wanawazuoni wetu. Sio tu maisha ya wasaniii na watu maarufu ulimwenguni.
Haya hapa ni maisha ya Mwanazuoni mkubwa sana aliyeishi karne ya 19 Sheikh Muhammad Ayoub Khamis na kuacha chuo kikubwa na maarufu Mkoa wa Tanga na Tanzania kwa ujumla (TAMTA)
******************
COMMENTS