A . Amina rabi jalia Kwako nakuelekea Sina pa kukimbilia Kubali maombi haya. B Bariki shughuli yangu Ulonipa Mungu wangu Meridhik...
A.
Amina rabi jalia
Kwako nakuelekea
Sina pa kukimbilia
Kubali maombi haya.
Amina rabi jalia
Kwako nakuelekea
Sina pa kukimbilia
Kubali maombi haya.
B
Bariki shughuli yangu
Ulonipa Mungu wangu
Meridhika lako fungu
Kubali maombi haya.
Bariki shughuli yangu
Ulonipa Mungu wangu
Meridhika lako fungu
Kubali maombi haya.
C.
Chukua pungufu langu
La kwenye madhambi yangu
Niepushie majungu
Kubali maombi haya
Chukua pungufu langu
La kwenye madhambi yangu
Niepushie majungu
Kubali maombi haya
D.
Dhumuni la Dua hii
Niombayo kwa bidii
Nakuomba YAA WAALII
kubali maombi haya
Dhumuni la Dua hii
Niombayo kwa bidii
Nakuomba YAA WAALII
kubali maombi haya
Aaaamin.
Inshallah itaendelea
COMMENTS