Bila shaka Mara kadhaa ushawahi kusikia kuwa mtu fulani amekufa kwa shinikizo la damu. Hapa tumeelezea kwa uchache

SHINIKIZO LA DAMU NININI?
Hii nii ile hali ya kuwa na mgandamizo wa damu mkubwa kuliko kawaida kwenye mishipa.
SABABU ZA KUPATA SHINIKIZO LA DAMU
- Ulaji wa vyakula vyenye chumvi nyingi
- Kula vyakula vyenye mafuta mengi
- Kutofanya mazoezi
- Uzito uliozidi kupita kiasi
- Uvutaji wa sigara
- Kisukari
- Msongo wa mawazo
DALILI ZAKE
- Mabadiliko kwenye mapigo ya moyo
- Kujisikia kiu kila mara
- Kizunguzungu
- Kupoteza fahamu
- Mapigo ya moyo kwenda mbio
- Uchovu mara kwa mara
MADHARA YANAYOWEZA KUSABABISHWA NA SHINIKIZO LA DAMU
- Maradhi ya moyo
- Maradhi ya figo
- Kisukari
TIBA YA SHINIKIZO LA DAMU
- Punguza unene kama utakuwa ni mnene kupitiliza
- Punguza matumizi ya chumvi
Baadhi ya vyakula ambavyo unashauriwa kuviacha ni pamoja na chipsi hasa zenye tomato sos, chill sos n.k
- Fanya mazoezi. Hasa mazoezi ya kutembea, kukimbia na kuogelea
- Kula vyakula vyenye madini ya calsium kama vile limau, ndizi, viazi, na machungwa
- Kula vyakula vyenye kamba kamba kwani huondoa lehemu. Vyakula hivyo ni kama vile epo, ndizi,mihogo n.k
- Kunywa maji asubuhi kabla ya kufungua kinywa. Hii itasaidia kuifanya damu yako kuwa nzito.
Asante kwa kuwa nasi
COMMENTS