FAIDA 6 ZA KUNYWA MAJI YA NDIMU / LIMAO KILA ASUBUHI

Unaambiwa kunywa maji kwa wingi hasa wakati wa asubuhi ni faida kubwa sana kiafya mwilini, lakini kunywa maji ya uvugu vugu yenye ndimu / limau ni faida mara dufu.

Hii ni kutokana na vitamin C iliyomo katika matunda haya ambayo ni faida kubwa sana katika mwili wa mwanadamu.

Mbali na vitamini C, ndimu ina vitamini B-complex,  madini ya Kalshiamu, chuma, magnesiamu na potashiamu, na fiba (Ndimu ina potasiumu kwa wingi kuliko tofaa (apple) au  Zabibu.

  • Kunywa maji peke yake ni ngumu kwa baadhi ya watu kutokana na kupata kichefuchefu lakini maji yaliyotiwa ndimu au limau huwa na ladha nzuri na kila mtu anaweza kunywa bila tatizo.
Hapa nimekuorodheshea faida 6 za kunywa maji yenye ndimu / limau kila asubuhi.
  • Tiba dhidi ya kikohozi

Tumia limau katika maji ya uvuguvugu, weka na asali kidogo. Mchanganyiko huu husaidia kutibu mafua na kikohozi.

Faida nyingine ni pamoja na;-

  • Kuondoa harufu mbaya mdomoni
  • Huboresha kinga ya mwili
  • Husaidia kusafirisha damu mwilini
  • Husaidia kupunguza uzito
  • Kinga dhidi ya saratani

   
Anza siku yako kwa kunywa maji yenye ndimu kila siku

Ni zoezi rahisi na haraka kabisa, weka maji yenye joto kidogo (vuguvugu) katika glasi au kikombe , kata limao au ndimu vipande viwili na kamua kipande kimoja tu ndani ya glasi yenye maji.


Kunywa na uanze siku mpya. Ni vizuri ukafanya hivi dakika 30 kabla ya kula chochote kingine kwa faida zaidi.

Anza leo kwa kunywa maji yenye ndimu kila siku asubuhi na uone mabadiliko ndani ya mwili wako. Mshirikishe mwenzio ili naye afaidike.

COMMENTS

BLOGGER: 10
  1. Asante sana kwa ushauri wako huu utanisaidia kupunguza hasira na kujifunza kusahau. Pia kuanzia sasahivi nitakunywa maji yauvuguvugu na ndimu au kimapenzi.Thank you.

    ReplyDelete
  2. Kwakua ninashida sana ya kupungua uzito nitazingatia Maji yenye limao asanteh kwa elimu

    ReplyDelete
  3. Replies
    1. Furaha Yetu ni kukuona wewe hapa. Asante sana

      Delete
  4. Je,ndimu huzuia wanakawake kupata mimba au la?

    ReplyDelete

Follow - ili usipitwe

Kwa mawasiliano zaidi

Name

Afya,66,Blogging,18,Burudani,29,Dini,99,Maisha,38,Mashairi,52,Sitosahau,37,Teknolojia,7,Usichokijua,14,
ltr
item
mrbunduki: FAIDA 6 ZA KUNYWA MAJI YA NDIMU / LIMAO KILA ASUBUHI
FAIDA 6 ZA KUNYWA MAJI YA NDIMU / LIMAO KILA ASUBUHI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh9zjPcYXnQdii85YH2_R02hnb8TRsfG4jiwHGVhY0lvYJoP-2OLC-kjroiHYC2ZpvsYWMsLkoMJm4pPqspGm3KP3nFCKzWiWYdjaYmY7Bbvyb76eXU0j8ZgmExa4hKaxqg5w7F2ke8NLM/s320/Lemon_water_blog_lg.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh9zjPcYXnQdii85YH2_R02hnb8TRsfG4jiwHGVhY0lvYJoP-2OLC-kjroiHYC2ZpvsYWMsLkoMJm4pPqspGm3KP3nFCKzWiWYdjaYmY7Bbvyb76eXU0j8ZgmExa4hKaxqg5w7F2ke8NLM/s72-c/Lemon_water_blog_lg.jpg
mrbunduki
https://sayyidbunduki.blogspot.com/2020/09/faida-6-za-kunywa-maji-ya-ndimu-limao.html
https://sayyidbunduki.blogspot.com/
https://sayyidbunduki.blogspot.com/
https://sayyidbunduki.blogspot.com/2020/09/faida-6-za-kunywa-maji-ya-ndimu-limao.html
true
3501413861140022348
UTF-8
Loaded All Posts Hakuna chapisho lolote View All Read more Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All Recommended posts LABEL ARCHIVE Search/Tafuta ALL POSTS Bahati mbaya, Ulichotafuta hakipo Rudi nyumbani/Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content