FAIDA 10 ZA KULA PILIPILI HOHO

Pilipili hoho hutumika kama kiungo kwenye mboga za aina mbalimbali majumbani mwetu, lakini je umewahi kujiuliza ni virutubisho gani hupatika...


Pilipili hoho hutumika kama kiungo kwenye mboga za aina mbalimbali majumbani mwetu, lakini je umewahi kujiuliza ni virutubisho gani hupatikana ndani ya pilipili hoho? Pia nini umuhimu wa kiungo hiki kwenye miili yetu?

  1.  Kwanza kabisa  kuna aina mbili za pilipili hoho ambazo ni kijani na njano. Pilipili zenye rangi ya njano husadikika kuongoza kwa virutubisho vya aina ya zeaxanthin na lutein. Madini haya pia husaidia kupunguza uwezekano wa kutokea kwa tatizo la mtoto wa jicho. 


  2. Pia pilipili hoho huongeza kinga ya mwili. Hii husaidia mwili kupambana na magonjwa mbalimbali.
  3. Uwezo wa kupambana na magonjwa sugu ya saratani. Tafiti mbalimbali zimefanyika kuthibitisha hili.
  4. Husaidia kuongeza uwezo wa kuona kwa wale wenye matatizo ya macho. Hivyo ni vyema kutumia kiungo hiki cha chakula ili kuongeza uwezo wa kuona vizuri.
  5. Pilipili hoho husaidia mwili kupambana na magonjwa ya moyo.
  6. Juisi ya pilipili hoho husaidia kuchuja takamwili.
  7. Hutibu muwasho wa vidonda vya kooni.  
  8. Pilipili hoho zina vitamini C kwa wingi hii husaidia kutibu ugonjwa wa kutokwa damu puani na kuimarisha kinga ya mwili.
  9. Husaidia kukinga saratani ya kibofu cha mkojo.
  10. Kupunguza mafuta ya sio hitajika mwili hivyo huweza kupunguza uzito.
  11. Kuimarisha mzunguko wa damu mwilini pamoja na kupunguza shinikizo la damu
  12. huongeza kiwango cha damu mwilini.
  13. Uwezo wa kurekebisha presha za kushuka na kupanda.
  14. tafiti kadhaa zinaonesha kua Hoho husaidia kutibu magonjwa ini.
  15. Husaidia mwili katika mfumo wa mmengenyo wa chakula.
  16. Mchanganyo wa juisi ya pilpili hoho na spinachi humaliza tatizo la kujaa kwa gesi tumboni.

COMMENTS

Follow - ili usipitwe

Kwa mawasiliano zaidi

Name

Afya,66,Blogging,18,Burudani,29,Dini,99,Maisha,38,Mashairi,52,Sitosahau,37,Teknolojia,7,Usichokijua,14,
ltr
item
mrbunduki: FAIDA 10 ZA KULA PILIPILI HOHO
FAIDA 10 ZA KULA PILIPILI HOHO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh44wFyWsJGZQ8s21oIr-QzoIN02o3f_EszfJBv4TXC3oQXuk7NuZaqAn02kzCxr4hzP08gXzQiL0nJJ8kntxRsp4a5vjLrGxq3dzTeLSBR2Ob8iXHyginP9oSLx4mWOZbS7S_N5SOIFxQ/s320/karii.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh44wFyWsJGZQ8s21oIr-QzoIN02o3f_EszfJBv4TXC3oQXuk7NuZaqAn02kzCxr4hzP08gXzQiL0nJJ8kntxRsp4a5vjLrGxq3dzTeLSBR2Ob8iXHyginP9oSLx4mWOZbS7S_N5SOIFxQ/s72-c/karii.jpg
mrbunduki
https://sayyidbunduki.blogspot.com/2020/11/faida-10-za-kula-pilipili-hoho.html
https://sayyidbunduki.blogspot.com/
https://sayyidbunduki.blogspot.com/
https://sayyidbunduki.blogspot.com/2020/11/faida-10-za-kula-pilipili-hoho.html
true
3501413861140022348
UTF-8
Loaded All Posts Hakuna chapisho lolote View All Read more Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All Recommended posts LABEL ARCHIVE Search/Tafuta ALL POSTS Bahati mbaya, Ulichotafuta hakipo Rudi nyumbani/Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content