Amesema Mtumbe wa Mwenyezimungu Rehma na amani zimshukie juu yake "Upole hutokana na Mwenyezimungu na Haraka haraka hutokana na Sheit...
Amesema Mtumbe wa Mwenyezimungu Rehma na amani zimshukie juu yake
"Upole hutokana na Mwenyezimungu na Haraka haraka hutokana na Sheitwani" (Hadithi hii imepokelewa na Imam Baihaqiy)
Maelezo
Hadithi hii imetuhimiza kufanya mambo kwa upole zaidi kuliko haraka. Kula, kunywa, kutembea na mambo mengine mengi tunatakiwa kufanya kwa upole na mazingatio.
Allaah ndiye mjuzi zaidi
COMMENTS