Miwasho sehemu za siri huwakumba watu wa jinsia zote. Hapa ni njia 3 zitakazo kusaidia kutibu tatizo hilo
1. KOKWA LA EMBE
Chukua kokwa za embe kisha zipasue na uchukue kiini chake cha ndani kama inavoonekana kwenye picha hapo juu.
Chukua viini hivyo kisha uvisage na uchanganye na maji safi kisha kunywa mchanganyiko huo mara 2 kwa siku kwa muda wa wiki moja mpaka mbili na kwa uwezo wa Mwenyezimungu utapona tatizo hilo.

2. MAJANI YA MPERA
Chukua majani ya mpera kiasi cha robo kilo, yaweke katika maji yenye ujazo wa lita mbili. Chemsha mchanganyiko huo kwa muda usiopungua dakika 15.
Osha uke wako mara 3 kwa siku kwa muda wa wiki mbili na tatizo litakwisha Ishaallaah.

3. MWAROBAINI
Chukua majani ya mwarobaini kisha ufanye kama tulivoelekeza katika matumizi ya majani ya mpera hapo juu. Kwani matayarisho yake na matumizi yake ni sawa.
Asante kwa kuwa nasi
Sawa mkubw
ReplyDelete