Kidogo tulichonacho katika elimu tunashea na wenzetu.

Amesema Mjumbe wa MwenyeziMungu Rehma na amani zimshukie juu yaka
"Amali iliyo bora, baada ya aamali za faradhi ni kuingiza furaha kwa muisamu mwenzako" (Hadithi hii Imepokewa na Imam Twabaraniy)
Maelezo
Kuna hadithi inasema kuwa, kutoa tabasamu kwa muislamu mwenzako ni sadaka.
Tujitahidi kupeana furaha na amani baina yetu na sio kuudhiana na kukoseshana raha. Hili sio jambo jema.
COMMENTS