Kidogo tulichonacho tunashea na wenzetu

"Atakapokufa mwanaadamu zimekatika amali zake zote isipokuwa mambo matatu tu.
1. Sadaka yenye kuendelea
2. Elimu yenye manufaa
3. Mtoto mwema atakaye muombea dua
(Hadithi hii imepokelewa na Imam....)
Maelezo
Mwanadamu hufanya mengi katika uhali wake, lakini atakapokufa yote huwa hayana tena msaada na yeye ila mambo hayo hapo juu matatu.
Tunahimizwa kuwekeza katika mambo hayo matatu.
Mungu ndiye mjuzi zaidi
COMMENTS