Kutembea ni kusoma, kutembea huimarisha ubongo. Jumapili ya leo tulifunga safari kuelekea Wilaya ya Rungwe. Kuna mengi tumejifunza.
BUNDUKI MEDIA - Leo imetembelea katika mji wa Tukuyu na kulitafuta mahala Daraja la Mungu lilipo.
Yapo Mengi ya kukufahamisha kuhusu maeneo hayo yaliyo sheheni miti na misitu yenye kijani kibichi.
Endelea kusubiri makala kamili katika mitandao yetu.
Sambamba na Dara la Mungu, lakini pia liko eneo ambalo hujulikana kama Kijungu.
Ni shimo refu mfano wa chungu ambalo urefu wake ni zaidi ya mita 200. Ukiingia umepotea mazima.
Hapa kuna maajabu yake ambayo ni yenye kustaajabisha sana hasa kulingana na mila za wenyeji wa huko.
Nadhani makala hii utaipenda sana.
Endelea kuwa nasi.
&


COMMENTS