Tunahakikishia tunakusogezea maeneo yote ya Kihistoria na vivutio vya watalii ili ujifunze na kuburudika Pia.
Kila eneo lina historia yake, lakini historia nyingine ni za kushangaza. Kutana na ZIWA KISIBA Mkoani mbeya. Moja katika maziwa ambayo historia yake ni ya ajabu sana.
Karibu kuitazama video yote hapa chini.
COMMENTS