Duniani kuna watu wamewahi kukumbana na bahati nzuri sana. Ikiwemo kijana huku
Hii ni historia ya kijana ambaye hakupenda jina lake liwekwe wazi kutokana na sababu mbali mbali ikiwemo kulinda usalama wake.
Kijana huyu alikuwa anaishi na mjomba wake, mjomba wake alikuwa anajishughulisha na biashara za kuuza matunda sokoni. Kwa kuwa kijana yule alikuwa anaishi pale alikuwa akishirikiana na mjomba wake katika kazi ile.
Hapa anasimulia tukio ambalo hatolisahau nalo ni kuokota pesa nyingi na jinsi mambo yalivyokwenda kuanzia mwanzo hadi mwisho na matokeo yake.
Sikiliza simulizi kamili hapa
COMMENTS