Unajua blog yako inatembelewa na watu wangapi kwa siku?
Je wamesoma machapisho gani?
Je wameingia kupitia kifaa gani? SIMU, LAPTOP AU TABLET
_ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _
Makala hii nitakufahamisha juu ya jambo hili.
Kama unatumia mtandao wa Blogger, bila shaka ukiingia katika sehemu yako ya kuchapisha ndani ya blogger sehemu ya stats itakuonesha idadi ya watembeleaji. Lakini fahamu kuwa idadi ile sio ya kweli hata.
Google analytics ndiyo sehemu pekee ambayo unaweza kupata hesabu sahihi ya watembeleaji wa blog yako.
Idadi ambayo unaiona kwenye dashboard ya blogger imejumuisha na maroboti ambayo yanatazama blog yako na kuifanya iwe hai. lakini idadi ambayo utaiona kwenye google analytics ndiyo sahihi.
Unganisha blog yako na google analytics na ujiunge sasa, watakupa codes ambazo utazipest kwenye blog yako kisha utaanza kupata idadi kuanzia muda huo huo.
Tazama tofauti ya vielelezo hivi viwili.
![]() |
| Blogger |
![]() |
| Google analytics |
Faida za kutumia Google analytics
NYONGEZA



Asante mkuu
ReplyDeleteTogether as one kaka
Delete