Ndio, wewe umepitia magumu katika mapenzi. Lakini mwenzako huyu alipitia magumu zaidi.
BASHIRU ni mjasiriamali anayefanya biashara za uuzaji wa matunda sokoni.
Simulizi yake ya ni kitendo cha kuteswa sana na mke wake baada ya kuyumba kiuchumi pale alipopata mtihani wa kupata ajali mbaya.
Itazame simulizi yake hii ambayo itakusisimua Sana👇👇
COMMENTS