Sikiliza kwa makini mada hii, kisha unambie
Kitambulisho gani utaweza kuondoka nacho hapa ulimwenguni na kikakufaa kesho Akhera? Sheikh Ibrahim anatoa ufafanuzi juu ya hilo.
Lakini pia hakuishia hapo, akafafanua juu ya mtu aliyebora mbele ya ALLAAH.
Je? Ninani huyo?
SIKILIZA MAWAIDHA HAYA UJENGE IMANI YAKO
COMMENTS