Najua umeshasikia mengi kuhusiana na Kimondo - Lakini haya yatakushangaza zaidi
_____________________
Hiki ni kimondo ambacho kina sifa nyingi sana ukilinganisha na vimondo vingine duniani. Miongoni mwa sifa hizo ni kwamba ni kimondo chenye madini ya chuma kwa asilimia kubwa sana.
Maumbo tofauti katika pande mbili ni miongoni mwa sifa za kimondo hiki.
Tazama video hii na kujifunza mambo mengi ambayo ulikuwa huyafahamu.
Video hii pia inapatikana youtube kwenye channel yetu "BUNDUKI TV"
COMMENTS