Tunakujuza kuhusiana na tabia za wanyama pori ambazo ulipenda kuzifahamu
Huwa tunakuwa na utaratibu wa kukuletea makala mbali mbali kuhusiana na maliasili na malikale kutoka katika maeneo mbali mbali.
Hapa tulitembelea shamba la ufugaji wanyama pori la IFISI ZOO. Angalia video hii na utajifunza Mengi.
Bila shaka umefurahia video hii. Kama ndivo basi tuachie maoni yako, mapendekezo au ushauri juu ya kile ulichokiona.
COMMENTS