JE? SIKU SAHIHI YA ARAFA NI IPI? NA JE NI UPI UBORA KWA ATAJAYEFUNGA?

Zikiwa zimebaki siku chache ili waislamu waingie katika Sikukuu ya Iddi kubwa - IDDI AL DHHA, Idii hii hutanguliwa na masiku 9 matukufu ambayo tumehimizwa kuyafunga. Umuhimu huu umekokotezwa zaidi katika siku ya 9 ambayo hujulikana kama siku ya Arafa.
Khutba ya leo tunafahamishwa kwa kina kabisa juu ya umuhimu wa siku hiyo na usahihi wake. Karibu tuitazame video hii.
Pia unaweza kuitazama video hii moja kwa moja katika channel yetu ya BUNDUKI TV
COMMENTS