Leo tunahamia upande wa pili kuzungumzia hasara zake. Hii ni baadhi ya maoni ya wasomaji wetu kutuomba tuzungumzie hili japo kwa ufupi ili kuifunza ja
Tulishaeleza kwa urefu sana kuhusu madhara ya punyeto kwa mwanaume.
Soma makala hiyo, bonyeza maandishi ya kiijani chini
Madhara ya punyeto kwa mwanaume
Leo tunahamia upande wa pili kuzungumzia hasara zake. Hii ni baadhi ya maoni ya wasomaji wetu kutuomba tuzungumzie hili japo kwa ufupi ili kuifunza jamii.
Katika makala hii fupi sana tutaangalia haya;-
- Maana ya punyeto kwa mwanamke
- Sababu
- Vihatarishi
- Madhara yake
Kama ni mpenzi wa simulizi za kusisimua, Utalii , Mawaidha ya dini na burudani tunakukaribisha katika channel yetu ya Youtube BUNDUKI TV.
A. Punyeto kwa wanawake ni nini?
Punyeto ni hali ya mtu kujichezea nyeti zake na sehemu nyingine za mwili na kujiridhisha. Ni njia za kutumia mbadala wa mwanaume ili kujimaliza hamu zake za mapenzi.
Punyeto kwa wanawake hufanyika katika njia tofauti kulingana na maamuzi au upeo wa elimu ya muathirika (mfanyaji)
Baadhi yao huchezea uke na kujiridhisha, wengine hutumia vifaa vyenye maumbile yanayofanana na uume kama vile midoli (dildo), tango, karoti, biringanya ndefu, ndizi na kadhalika.
Lakini pia wapo ambao hutumia mashine maalum za umeme zenye kutetema (vibration) ambazo huzitumbukiza ndani ya uke na kisha kuiwasha kwa ajili ya kumsisimua.
Kama unafahamu njia nyingine zaidi unaweza kutuandikia hapo chini sehemu ya comment (kwa lengo la kujifunza)
B. Visababishi vya punyeto kwa wanawake
Kwanini wanawake hujichua? (punyeto)
Sababu ni nyingi ambazo hupelekea mwanamke hujikuta amekuwa mraibu wa kujichua. Kutokana na utafiti wangu ambao nimeufanya hapa nitakupa sababu 5 tu kubwa.
1. Vishawishi (makundi)
2. Kutokuridhishwa na wapenzi wao
3. Upweke
4. Utandawazi / Teknolojia
5. Kuzidiwa na hisia za mapenzi
C. Vihatarishi / vichochezi vya kujichua kwa mwanamke
1. Kuangalia picha za ngono
2. Kujichezea kwa muda mrefu bila sababu
3. Kusoma makala au kutazama video zinazo hamasisha jambo hilo kwa kuamini kuwa halina madhara.
D. Madhara ya punyeto kwa mwanamke
Hapa ndipo haswaa somo letu lilipo. Je unayafahamu madhara ya mwanamke / msichana kujichua?
Madhara haya lazima mojawapo likutokee kama ikiwa umeingia katika tabia hiyo. Madhara yaweza kukukutokea baada ya muda mrefu au muda mfupi;-
1. Kutojua thamani ya mwanaume
Kama una uwezo wa kujimaliza haja zako mwenyewe bila ya mwanaume kuna haja gani ya kuwa naye? Hapo utajiona kuwa wewe ndiye kila kitu na mwanaume wa nini?
Hii itakupelekea hata kutokuona umuhimu wa ndoa au mahusiano. Umri unakwenda mwisho wa siku unajikuta unazeeka bila mtoto wala mume.
'Shauri yako'
2. Kukosa hamu ya tendo la ndoa
Hapa ni kwa wale wanaojichua lakini ana mpenz wake au mume wake. Mchezo huu ukisha kukolea basi unakuwa huna hisia za karibu na mumeo.
Kuna muda unafika hamu yako inakuwa ni kwa vile vifaa ambavyo ndivyo hukuridhisha kama tulivyoviorodhesha hapo juu.
'Sasa mtu mzima ukiona tango unalitamani una akili kweli?'
3. Maumivu ukeni
Maumbile ya mwanaume ni tofauti na vifaa wanavyotumia wanaopiga punyeto. Vifaa vile ni vigumu na vikubwa wakati mwingine kuliko maumbile halisi ya mwanaume.
Msuguano unakuwa mkubwa na usio rasmi kiasi cha kusababisha mauviu baadaye hisia zako zikishaisha.
'Unalijua tango wewe? Kwanini uke usiume?'
4. Uke kulegea
Hii inataka kufanana na nukta nambari tatu hapo juu. Lakini hapa ni uke kulegea na kupoteza mvuto.
Kutokana na madude hayo wanayotumia hao akina dada, hupelekea kutanuka sana kwa mishipa ya uke na hatimaye kuzidi kiwango cha uume halisi.
'Hapo utasikia yule kaka ana kibamia'
5. Msongo wa mawazo
Msongo wa mawazo na fadhaa huja pale ambapo wanawake wenzako wanasifu kuhusu kazi nzuri za wanaume wao, hapo ndipo utajiona mkosaji na kutamani aridhi ipasuke uingie ndani.

'Ni pale unapofikiria kuwa mumeo ni tango na karoti'
6. Uchovu
Nguvu unayoitumia ni kubwa kwasababu wewe ndiye mwanaume na wewe ndiye mwanamke (unajiridhisha mwenyewe).
Hii husababisha uchovu mwingi na endelevu katika maisha ya kila siku hasa kwa wanaojichua kwa zaidi ya mara moja kwa siku.
7. Kupoteza uwezo wa kufikishwa kileleni
Kutokana na kuathirika kisaikolojia na madude ya kutengeneza basi unajikuta mwanaume hata afanyeje hawezi kukuridhisha.
Unamsubiri amalize tu haja zake kisha unazunguka zako nyuma au uwani kisha unamaliza mchezo wako.
'Uraibu huu ni m baya sana'
8. Mikosi na laana kwa Mungu
Unatumiaje chakula kukitumbukiza sehemu za siri? Hii ni laana ya wazi wazi na husababisha mikosi katika maisha.
Mungu hadhihakiwi ndugu yangu, kuliko kutumia vyakula heri uchonge mtu wako ujiumize mwenyewe upate maradhi ufe.
Unaweza kuniuliza nini faida ya kupiga punyeto kwa mwanamke? Huenda zikawepo chache lakini madhara ni mengi zaidi.
Kama unahisi kuna faida basi tuandikie hapo chini sehemu ya comment.
COMMENTS