Maisha yana changamoto nyingi. Jifunze mengi kupitia simulizi hii ya ndugu yetu
Hii ni simulizi ya kijana Athumani aliyepitia magumu sana alipotoroka na wenzake nchini Msumbiji ambako walikuwa wanatafuta maisha kinyume na taratibu za nchi.
Safari yao ya kurudi kwao Tanzania walipita porini kuhofia kuonekana na Askari ambao walikuwa wanawatafuta kama wahamiaji haramu. Mwisho wa siku wenzake wote walikufa na kubaki peke yake.
COMMENTS